Wednesday, September 6, 2017

Wachezaji 47 wa Afrika wanaocheza Ligi Kuu England

Katika msimu wa 2017/2018 kutakuwa na wachezaji 47 kutoka nchi za Afrika wanaochezea klabu za Ligi Kuu ya England.
Hii ni kwa mujibu wa orodha ya wachezaji 25 wa kila timu ambao waliwafilishwa kwa Ligi ya Premia.
Wachezaji hao ni asilimia 9 ya wachezaji wote katika ligi hiyo, ambalo ni ongezeko ndogo ukilinganisha na msimu uliopita ambapo walikuwa 45Leicester City wanaongoza wakiwa na wachezaji saba, wakifuatwa na Crystal Palace, Newcastle United na West Ham ambao wana wachezaji wanne kutoka Afrika kila klabu.
Ni klabu moja pekee - Burnley - ambayo haina mchezaji wa kutoka Afrika msimu huu.
Senegal inaongoza kwa kuwa na wachezaji wengi zaidi, tisa, ikifuatwa na Nigeria iliyo na wachezaji sita.
DRC, Ghana na Ivory Coast zina wachezaji watano kila nchi.

Senegal

Pape Souare
Idrissa Gana Gueye
Oumar Niasse
Sadio Mane
Mohamed Diame
Henry Saivet
Mame Diram Diouf
Chekhou Kouyate
Diafra Sakho

Nigeria

Alex Iwobi
Ahmed Musa
Wilfred Ndidi
Kelechi Iheanacho
Isaac Success
Victor MosesGaetan Bong (Cameroon)

Chelsea

Victor Moses (Nigeria)

Crystal Palace

Bakary Sako (Mali)
Jeffrey Schlupp (Ghana)
Pape Souare (Senegal)
Wilfred Zaha (Ivory Coast)

Everton

Yannick Bolasie (DRC)
Idrissa Gana Gueye (Senegal)
Oumar Niasse (Senegal)

Huddersfield Town

chanzo bbc swahili

No comments:

Post a Comment