Thursday, September 7, 2017

TFF YATANGAZA WAAMUZI WALOPEWA JAHAZI NA AZAM FC VS SIMBA

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limewatangaza waamuzi watakaochezesha mechi kati ya Azam FC dhidi ya Simba, Jumamosi.

Waamuzi haoni Ludovic Charles wa Tabora ambaye atasaidiana na Ferdinand Chacha (Mwanza) Abdallah Mkomwa (Pwani) na Josephat Bulali atakayekuwa mezani.

Tayari mechi hiyo imekuwa gumzo, hii ni kutokana na Simba kuanza ligi kwa kazi kubwa



Lakini kingine ni kutokana na Azam FC kuwa imeamua kufanya mabadiliko ikiwa ni pamoja na kuwaacha nyota wake zaidi ya watano.chanzo na salehe jembe

No comments:

Post a Comment