VideoMPYA: Davido katuletea hii ‘coolest kid in Africa’ ft. Nasty C
Davido
ni miongoni mwa waimbaji wa kizazi cha sasa Afrika ambao hupata
attention kubwa kila watu wanaposikia kuna wimbo mpya, hapa katuletea
video yake mpya aliyomshirikisha Nasty C ‘Coolest kid in Africa‘ ndio hii hapa chini na ukishaitazama sio mbaya ukiacha comment yako ulivyoipokea
No comments:
Post a Comment