Umoja wa mataifa umeendelea kutoa
msaada kwa zaidi ya wakimbizi elfu hamsini na nane wengi wao wakiwa ni
wanawake na watoto Baada ya vikosi vya Jordan kujitoa kuisaidia Syria.
Jordan ilifunga mipaka yake kufuatia shambulizi la mabomu lililouwa wanajeshi saba mwezi June mwaka huu, ambapo wapiganaji wa kiislam walihusishwa na tukio hili, chakula kwa wakimbizi kimepelekwa mara moja.
Umoja wa mataifa unatarajia kujenga hospitali ya wakimbizi katika kambi hizo.chanzo na bbc swahili.

No comments:
Post a Comment