Mlipuaji mabomu wa kujitolea muhanga
amejilipua na kuwauwa watu 27 katika msikiti wa waislam wa madhehebu ya
Shia katika mji mkuu wa Afghanstan Kabul, wamesema polisi.
Shambulio hilo limekuja wakati waumini walipokuwa wamekusanyika kwa sherehe za kidini.
Kundi la Islamic State (IS) limesema kuwa lilihusika na mlipuko huo.
Ni shambulio la hivi karibuni katika ya msururu wa mashambulio kadhaa ya hivi karibuni yanayolenga jamii ya waislam wa madhehebu ya Shia yanayodaiwa kutekelezwa na wanamgambo wa kiislam wa madhehebu ya Sunni
.
Kundi la Islamic State (IS) limesema kuwa lilihusika na mlipuko huo.
Ni shambulio la hivi karibuni katika ya msururu wa mashambulio kadhaa ya hivi karibuni yanayolenga jamii ya waislam wa madhehebu ya Shia yanayodaiwa kutekelezwa na wanamgambo wa kiislam wa madhehebu ya Sunni.
.
Maafisa wanasema kuwa mshambuliaji alikuwa anatembea kwa miguu na kujilipua miongoni mwa umati wa watu wwaliokuwa nje ya jengo . Walioshuhudia wanasema alijilipua wakati ibada ilipokuwa kalibu kukamilika
No comments:
Post a Comment